Tayari hukooo. 🔥klabu ya As Roma ya nchini Italia kupitia ukurasa wake wa tweeter, imedokeza kuwa hivi karibuni watakuja na ukurasa mwingine wa kijamii ambao utakuwa unaendeshwa kwa lugha ya kiswahili.
ndugu na jamaa tukamate fursa hizo naona mambo yanazidi kuwa ni moto.
Juhudi za serikali ya awamu ya TanoAnd then?
Hiyo taarifa nilipoiona jana swali la kwanza kuja lilikuwa na nani yupo nyuma ya hili ni Mtanzania au Mkenya?Hapo tayari wakenya wamesha kula ajira. Bongo endeleeeni kushangilia
Itaria ndo nini
Shuleni mlienda kujifunza ujinga sio?
Humeamini niripokuwambiya mujomba wagu yupo itaria, hunahona kahajiriwa.?Itaria ndo nini
Shuleni mlienda kujifunza ujinga sio?
Timu gani?Laliga nazani nao huwa wana tumia Swahili
Laliga nazani nao huwa wana tumia Swahili