Timu ya As Roma rasmi yaanza kutumia lugha ya Kiswahili kwenye akaunti yake ya Twitter

Timu ya As Roma rasmi yaanza kutumia lugha ya Kiswahili kwenye akaunti yake ya Twitter

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
klabu ya As Roma ya nchini Italia kupitia ukurasa wake wa tweeter, imedokeza kuwa hivi karibuni watakuja na ukurasa mwingine wa kijamii ambao utakuwa unaendeshwa kwa lugha ya kiswahili.

ndugu na jamaa tukamate fursa hizo naona mambo yanazidi kuwa ni moto.
 
fursa ipi hapo imetangazwa kwa ndugu na jamaa.?
 
Maendeleo Hayana Chama
Kwenye SADC Tuliuza Swahili
 
klabu ya As Roma ya nchini Italia kupitia ukurasa wake wa tweeter, imedokeza kuwa hivi karibuni watakuja na ukurasa mwingine wa kijamii ambao utakuwa unaendeshwa kwa lugha ya kiswahili.

ndugu na jamaa tukamate fursa hizo naona mambo yanazidi kuwa ni moto.
Tayari hukooo. 🔥
 
Hakika Kiswahili kinasambaa kwa kasi duniani. Timu ya mpira wa miguu As Roma ya Italia imeanza rasmi kutumia lugha ya Kiswahili kupasia habari.

Watanzania tutembee vifua mbele
 
Hongera kwa serikali ya awamu ya 5 chini ya jemedari JPM kwa waarmisha baberu warumie lugha hakika hakuna kama awamu ya 5 na haitawahi kutokea. In (BASHITE n mataga voice's)
 
Echililo,

Timu ya AS Roma yafungua akaunti ya Twitter itakayowasilisha habari na matukio kwa lugha ya Kiswahili.
 
Timu gani?
Screenshot_20191017-141400.png

Screenshot_20191017-141420.png

Screenshot_20191017-141439.png

Screenshot_20191017-141455.png
 
Pamoja na kuzipenda team za Epl hazitumiii kiswahili wala kuja ziara hapa East Africa hawajawah kuja wanatukaushia tu
 
Back
Top Bottom