Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inafaa tu kukuita kenge na ni mbumbumbu in Rage's voiceView attachment 2729473
wakijikusanya kutoka Hotelini Kariakoo kwenda kucheza na Yanga Chamazi kwenye CAF sasa Angalia Mbwembwe za Upande wa Pili utadhani wanaenda kucheza na Mamelod hivi Zingatia Room hapa Bed & Breakfast ni 50,000 tu
Mbona inakuuma sana MKUU [emoji1787]View attachment 2729473
wakijikusanya kutoka Hotelini Kariakoo kwenda kucheza na Yanga Chamazi kwenye CAF sasa Angalia Mbwembwe za Upande wa Pili utadhani wanaenda kucheza na Mamelod hivi Zingatia Room hapa Bed & Breakfast ni 50,000 tu
Mkuu hivi kwa nini hakuna uzi wa live kwa mechi ya leo?Yani mganga wa Yang'a apewe maua yake sio mwa vibonde hawa...wamenikumbusha Zalan
Nachoipendea Yanga hasa ya msimu huu wao hawana mechi ndogo.
Saa 11 gemu inaanza ndio wanatoka vyumbani kuingia uwanjani mda huuMkuu hivi kwa nini hakuna uzi wa live kwa mechi ya leo?
Sasa sie tulio ktk mgao wa umeme tutapataje updates za live match?Saa 11 gemu inaanza ndio wanatoka vyumbani kuingia uwanjani mda huu
Ngoja nifungue uziSasa sie tulio ktk mgao wa umeme tutapataje updates za live match?
Fungueni uzi mliopo Chamazi
Umesahau wale wafugaji waliowang'oa tena hapo kwa Mkapa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa wanabahati na vibonde
Kwani imeanza?Mkuu hivi kwa nini hakuna uzi wa live kwa mechi ya leo?
Goal kickTimu inazidiwa ubora hata na Kitayoce