Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga 2-0 Asas DjiboutiLeo Yanga anapigwa, na pengine kutolewa kabisa.
Tukutane FTKama anapigwa Kwa maneno,sawa
Pyeeee imekula kwakoTukutane FT
SawaTukutane FT
Hakuna Uzi huu huu ndio unaruka liveUzi wa live,tafadhari...
Ila utopolo ni kibonde wa SimbaMkuu sio kwamba yanga haina mechi ndogo tuseme tu yanga timu nzur yan aliepo ndan wamoto na alie sub wa moto ata waki change kikos vip bado moto n uleule
Ata ungekuwa wewe ndio shabiki wa Makolo usingekasirika kwa hali iyo
Sawa,ila tulia uone mbugi la kitabuniIla utopolo ni kibonde wa Simba
Kwa hiyo?Imeshaanza mkuu, Mpaka sasa magoli ni Yanga 2 Asas 3
Mechi ijayo hatucheki na nyinyi tutawapelekea motoIla utopolo ni kibonde wa Simba
Mabomu yanatupwa mochwari 😂Pacome kabisa Pacome
Yanga 3-0 Asas Djibouti