OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mara ngapi. Nimekupiga 2 juzi. Tukatengewa kombe nikakutengea Ali Salum.Peleka timu yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara ngapi. Nimekupiga 2 juzi. Tukatengewa kombe nikakutengea Ali Salum.Peleka timu yako
GooooaaaaaaalMara ngapi. Nimekupiga 2 juzi. Tukatengewa kombe nikakutengea Ali Salum.
Ongeza sauti huku nyuma hatukusikiiiiiiiLeo Yanga anapigwa, na pengine kutolewa kabisa.
Siyo vibonde tu,hii mara ya pili pia wanapata vibonde na mechi zote zinachezwa TzYani mganga wa Yang'a apewe maua yake sio kwa vibonde hawa...wamenikumbusha Zalan
Kwa hiyo mdaka mishale ameshindwa kabisa kufuata nyayo za Ally Salim?Yanga 4-1 Asas Djibouti
Dakika 86'
Yani sijui wana honga?Siyo vibonde tu,hii mara ya pili pia wanapata vibonde na mechi zote zinachezwa Tz
Watalii...View attachment 2729473
wakijikusanya kutoka Hotelini Kariakoo kwenda kucheza na Yanga Chamazi kwenye CAF sasa Angalia Mbwembwe za Upande wa Pili utadhani wanaenda kucheza na Mamelod hivi Zingatia Room hapa Bed & Breakfast ni 50,000 tu