Timu ya Baiskeli ya Israel imepigwa Marufuku Kushiriki kwenye Mashindano Italia

Zacht

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2020
Posts
1,124
Reaction score
2,472
Timu ya Israel-Premier Tech imetolewa mashindano ya Giro dell’Emilia yanayofanyika Bologna nchini Italia.

Wabunge wa jiji la Bologna (mji unaoamalizikia mashindano hayo) ndio waliounga mkono uamuzi wa kuitoa timu hiyo.baana kupata shinikizo kutoka wananchi,wadau ,na vyama vya mchezo huo.

Mheshimiwa Roberta Li Calzi, msemaji wa masuala ya michezo wa Bologna, alisema kuwa hatua hiyo inaendana na hisia za jamii kuhusu uhusiano wa timu na serikali ya Israel.

Mbali na hatua hio lakini pia kuna shinikizo kubwa limekuja kutoka kwa vyama vya soka,wadau ,mashabiki, makundi ya walimu mashuhuri, mashirika ya haki za binadamu, na hata serikali mbalimbali, kwamba Israel itolewe au kusitishwa ushiriki wake katika mashindano ya UEFA na FIFA kutokana na hatua zake katika mzozo wa Gaza.

Ripoti zinaonyesha kwamba UEFA inaendeleza maandalizi ya mkutano wa wajumbe wake ambapo huenda hatua ya kusitisha Israel itajadiliwa. Kama voti itafanyika, inaweza kuwa kabla ya mechi za mchujo za Kombe la Dunia (World Cup).


Kila mahali hawatakiwi israhell
 
About damn time 🚮🚮🚮

BABY KILLERS SHOULD BE

BANNED FROM EVERYTHING

380,000 DEAD INNOCENT CHILDREN

AND COUNTING

FUK IZRAHELL
 
Na kwa taarifa Maandamano hayo yalianza na watu watano pekee kwenye kiiji kilicho karibu na Girona, Katalonia, wakaizuia timu hio ya Kizayuni

harakati ndogo ikazaa matunda asanteni waitalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…