Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Kwa ground zipi, za kushambuliwa tu..?Huu ni UPUMBAVU inabidi biashara waindiakie TFF barua ya kuomba kuahirishwa mechi ikachezwe moja mwingine (neutral ground)
Acha ujua wewe,ukisikia mtu kisa kashambuliwa na yuko mahututi,na gari limeharibiwa wewe unapata picha gani?,kwamba ni shambulio la kiroho au maneno?Kushambuliwa kimwili, kiroho, kimaneno??
Weka full details chief.
watu wana wachezaji wao na agency imeweka pesa. hili ni trailer tu more is comingSheria ichukue mkondo wake hizi hooliganism hazifai na inabidi zikemewe na kuzimwa pindi zinapoanza kuchipua...
Mwenzetu wewe viroba unapatia wapi?Kushambuliwa kimwili, kiroho, kimaneno??
Weka full details chief.