Simba ni quarter finalists wa klabu bingwa Africa, Kaizer Chiefs hawashiriki kombe lolote la kimataifa mwaka huu. Malengo hapo lazima yatakuwa tofauti. Kwa kusema hivyo sina maana ya kuibeza Kaizer Chiefs, ni moja kati ya klabu bora kabisa SA na ina facilities nzuri sana.Hauko timamu wewe, kama unaweza ukalinganisha kaizer chiefs na Simba basi ndio mana Taifa Stars inacheza vile ilivyocheza juzi na kufungwa
Ha ha ha sina neno zaidi ya kusubiri results za mbrazil na msudaniSimba ni quarter finalists wa klabu bingwa Africa, Kaizer Chiefs hawashiriki kombe lolote la kimataifa mwaka huu. Malengo hapo lazima yatakuwa tofauti. Kwa kusema hivyo sina maana ya kuibeza Kaizer Chiefs, ni moja kati ya klabu bora kabisa SA na ina facilities nzuri sana.
Ila ukweli unabaki pale pale Kotei ana mapungufu sana kwenye upigaji wa pasi, hasa pasi ndefu, ufanisi wake ni mdogo sana, na kwa level ya Simba na walipo kwa sasa anakuwa anakosa kitu cha msingi sana katika uchezaji.
Kotei ndio mlimchagua kiungo bora akiwashinda Mkude,Chama,Haruna,ilikuwaje mchezaji mbovu ndio anakuwa kiungo bora ?Simba ni quarter finalists wa klabu bingwa Africa, Kaizer Chiefs hawashiriki kombe lolote la kimataifa mwaka huu. Malengo hapo lazima yatakuwa tofauti. Kwa kusema hivyo sina maana ya kuibeza Kaizer Chiefs, ni moja kati ya klabu bora kabisa SA na ina facilities nzuri sana.
Ila ukweli unabaki pale pale Kotei ana mapungufu sana kwenye upigaji wa pasi, hasa pasi ndefu, ufanisi wake ni mdogo sana, na kwa level ya Simba na walipo kwa sasa anakuwa anakosa kitu cha msingi sana katika uchezaji.
Very good, tusubiri maana hata Kotei tulimsubiriHa ha ha sina neno zaidi ya kusubiri results za mbrazil na msudani
Unalinganisha machungwa na maandazi, na pia waliochagua ni wachezaji wenyewe, sio kocha.Kotei ndio mlimchagua kiungo bora akiwashinda Mkude,Chama,Haruna,ilikuwaje mchezaji mbovu ndio anakuwa kiungo bora ?
Usajili ni kama wewe unavyofanya mipango yako, inaweza ikaonekana mizuri lakini isikufikishe kule unakotaka, lakini hitaji la kuwa na mipango linabaki palepale.Unajua sisi wapenze wa soka Tz tuna changamoto kubwa sana! Kuna wakati ni lazima tuwe tunazungumzia soka katika uhalisia wake bila kujikita katika ushabiki wa Simba na Yanga! Huu ni upofu wa fikra kama kila kitu tunakichambua katika mizania ya Simba na Yanga!
Binafsi licha ya mahaba niliyo nayo kwa Simba ila usajili uanafanyika sasa unanipa mashaka!
Ni ngumu kuamini kuwa kocha alikuwa hamtaki Kotei ili hali alikuwa anacheza kwa ufanisi katika mechi nyingi (zaidi ya 90) Nakumbuka katika baadhi ya Mechi za Mwisho Kotei alitolewa dk ya 80 hadi Mtangazaji wa Redio alikiri kuwa hajawi kuona Baba Mchungaji Kotei akitolewa nje!
Kotei amefanya kazi kubwa Simba hakustahili kuachwa bali kuuzwa kwa faida!
Hivi hawa Wabrazil ikitokea wameshindwa(Mungu epusha mbali) tutasema nini kumwacha Kiungo Bora aende hivihivi.Hii inataka kutokea kama kipindi kile OMOG alitaka kummaliza Mkude1 au kama ambavyo tumemmaliza Juuko!
Kuna watu wanabisha bure usajili inaofanya Simba safari hii ni kamari! Ila Mungu ni Mwema!
haya wote tunasubiriUsajili ni kama wewe unavyofanya mipango yako, inaweza ikaonekana mizuri lakini isikufikishe kule unakotaka, lakini hitaji la kuwa na mipango linabaki palepale.
Simba wangeweza kumbakisha Kotei na pengine asingefanya vizuri msimu unaokuja kwa sababu mbalimbali kwa sababu tu he is human. Tuwaache viongozi wa Simba wafanye kazi yao ya kukisuka kikosi.
Wanadai jamaa alishacheza na wakina Neymar, Cassemiro na Coutinho, inawatosha sana hiyo sifa mkuu 😃.Ndo wakamchukua yule muuza mapera wa Brazil?
Hapana, hiyo ni added advantage, kilichowafurahisha Simba ni record yake (statistics). Na hiyo inatumika kila mahali duniani.Wanadai jamaa alishacheza na wakina Neymar, Cassemiro na Coutinho, inawatosha sana hiyo sifa mkuu 😃.
Lete record yake mkuu, maana hao jamaa aliocheza nao wako mbali sana kimafanikio.Hapana, hiyo ni added advantage, kilichowafurahisha Simba ni record yake (statistics). Na hiyo inatumika kila mahali duniani.
Kashata game na Algeria nikaona ni muda sasa wa kutengeneza vijana wetu. .poor performance wakamtoa 45 minutes. .gerson fraga anaweza kucheza kama beki n pia kma kiungo uyu msudan n kiungo w chin pure kwaiyo mide zinazoweza chini n mkude gerson pmoja n msudan kingine haruna ayupo kaja kahata ni nzuri pia uwez kuwa n viungo wa 3 waxhambuliaji kahata n chama wanatosha team imesajir vzr t
Record ya kucheza ligi ya India ??Hapana, hiyo ni added advantage, kilichowafurahisha Simba ni record yake (statistics). Na hiyo inatumika kila mahali duniani.
Hata uki-Google unapata profile yote, siku hizi kila kitu kipo kiganjani huhitaji kwenda library.Lete record yake mkuu, maana hao jamaa aliocheza nao wako mbali sana kimafanikio.
Ha ha ha! Kuwa objective.Hata uki-Google unapata profile yote, siku hizi kila kitu kipo kiganjani huhitaji kwenda library.
Mkuu pamoja na usajili mpya, haruna na okwi ni watu wanaotakiwa kubaki ili tufanye zaidi ya msimu ulioisha.gerson fraga anaweza kucheza kama beki n pia kma kiungo uyu msudan n kiungo w chin pure kwaiyo mide zinazoweza chini n mkude gerson pmoja n msudan kingine haruna ayupo kaja kahata ni nzuri pia uwez kuwa n viungo wa 3 waxhambuliaji kahata n chama wanatosha team imesajir vzr t
Muda wa siasa tumuachie nani mkuu...Kashata game na Algeria nikaona ni muda sasa wa kutengeneza vijana wetu. .poor performance wakamtoa 45 minutes. .
Huyo mchezaji amekuja Simba pia ana malengo yake, na malengo yake sio kucheza Mkwakwani tu bali ni kuonekana duniani atakapocheza kwenye champions league ambapo kuna viwanja vizuri na bora zaidi.Record ya kucheza ligi ya India ??
Aje kucheza viwanja kama Mkwakwani,Namfua Singida