Timu ya Kaizer Chiefs yamsajili Kotei

Timu ya Kaizer Chiefs yamsajili Kotei

Ngoja akapambane uko ila kamati ya usajili ya simba mwaka huu nafkl ina makengeza, sasa unashindwaje kumbakiza kotei unaenda kucheza kamali kwa wachezaji usio wajuwa?
Nimapema sana kutoa lawama
Muda bado na hao walio letwa hatujajua uwezo wao
 
Wakati kotei anakuja ulikuwa unamjua mkuu
Alikuwa hajulikani ila akaonyesha ubora wake,kulikiwa na sababu gani ya kumuacha mchezaji aloonyesha kiwango kizuri? Usiniambie ni mbovu mana Kaizer chiefs hawawezi sajili mchezaji mbovu toka simba
 
Ni Kamari tu kumuacha kotei. Huyo msudani hatumjui Vipi endapo atapata injury wakati muhimu kama alivyopata Nyoni na kapombe itakuwaje? Pili vipi asipocop na timu itakuwaje? Tatu Vipi tukiwakabiliwa na game ngumu inayohitaji viungo wakabaji wengi si kotei angetoa Masada wake pia
 
Kocha alishasema kotei hafiti kwenye mfumo wake unataka uongozi uanze kupingana na mwalimu???

Simba Kwa SASA ni timu kubwa Sana Kwa SASA, inafanya usajili kulingana na mahitaji ya maelekezo ya mwalimu, walikuwepo akina mutesa mafisango RIP, matola, samata, ochan, wote walishapita na kuondokaa,

I'm happy atealist amesaini club kubwa inayofanana na Simba Kwa SASA,

Sio unatoka Simba unasaini kwasu kwasu fc ni kama umeshushwa daraja toka ligi kuu Hadi ligi daraja la pili ngazi ya wilaya shenzyyyyyyy

Kotei goodbye thanks for everything
Kutoka Simba feeder club kwenda Yanga au Kaizer Chiefs ni sawa kabisa.
 
Kocha alishasema kotei hafiti kwenye mfumo wake unataka uongozi uanze kupingana na mwalimu???

Simba Kwa SASA ni timu kubwa Sana Kwa SASA, inafanya usajili kulingana na mahitaji ya maelekezo ya mwalimu, walikuwepo akina mutesa mafisango RIP, matola, samata, ochan, wote walishapita na kuondokaa,

I'm happy atealist amesaini club kubwa inayofanana na Simba Kwa SASA,

Sio unatoka Simba unasaini kwasu kwasu fc ni kama umeshushwa daraja toka ligi kuu Hadi ligi daraja la pili ngazi ya wilaya shenzyyyyyyy

Kotei goodbye thanks for everything
Wee hujitambui na ni mpuuzi wa kupuuzwa.
 
Uongo alisema lini? Tupe evidence za Mwl kusema hivyo
 
Ni Kamari tu kumuacha kotei. Huyo msudani hatumjui Vipi endapo atapata injury wakati muhimu kama alivyopata Nyoni na kapombe itakuwaje? Pili vipi asipocop na timu itakuwaje? Tatu Vipi tukiwakabiliwa na game ngumu inayohitaji viungo wakabaji wengi si kotei angetoa Masada wake pia
gerson fraga anaweza kucheza kama beki n pia kma kiungo uyu msudan n kiungo w chin pure kwaiyo mide zinazoweza chini n mkude gerson pmoja n msudan kingine haruna ayupo kaja kahata ni nzuri pia uwez kuwa n viungo wa 3 waxhambuliaji kahata n chama wanatosha team imesajir vzr t
 
Back
Top Bottom