Kocha alishasema kotei hafiti kwenye mfumo wake unataka uongozi uanze kupingana na mwalimu???
Simba Kwa SASA ni timu kubwa Sana Kwa SASA, inafanya usajili kulingana na mahitaji ya maelekezo ya mwalimu, walikuwepo akina mutesa mafisango RIP, matola, samata, ochan, wote walishapita na kuondokaa,
I'm happy atealist amesaini club kubwa inayofanana na Simba Kwa SASA,
Sio unatoka Simba unasaini kwasu kwasu fc ni kama umeshushwa daraja toka ligi kuu Hadi ligi daraja la pili ngazi ya wilaya shenzyyyyyyy
Kotei goodbye thanks for everything