SS5Mechi inaoneshwa supersport namba ngapi?
Nambieni nijue kama kifurushi changu cha Dstv naweza ona hii mechi
www.hesgoal.comTupeni link,nimekwama kuangali kibanda kuinama
hahahahahaSamatta hata kama hajafunga hilo la offside linatosha sana
Wewe unaonaje?hahahahaha
HahahahaHatujali ilimradi tu samatta atupie nyavu za liver
Ni kweli ameonyesha kuwa uwezo anaoWewe unaonaje?
KabisaSamatta hata kama hajafunga hilo la offside linatosha sana
Nilikuwa namsikiliza Rio Ferdinand na Peter Crouch kwenye uchambuzi wanasema kwamba hilo goli lingekuwa zuri sana maana so far hakuna aliyefunga goli la kichwa kwa week hii.Lile goli la samatta mabeberu walilokataa kwangu mimi linatosha kuthibitisha jamaa ni noma na mabeberu yanayopinga kasi ya muheshimiwa yanajitahidi kumkwamisha lakini yatashindwa...
kumbe wamemfanyia vigisu..Lile goli la samatta mabeberu walilokataa kwangu mimi linatosha kuthibitisha jamaa ni noma na mabeberu yanayopinga kasi ya muheshimiwa yanajitahidi kumkwamisha lakini yatashindwa...