Timu ya Mbwana Samata, leo kupambana dhidi ya Liverpool

Timu ya Mbwana Samata, leo kupambana dhidi ya Liverpool

Tupeni link,nimekwama kuangali kibanda kuinama
 
Lile goli la samatta mabeberu walilokataa kwangu mimi linatosha kuthibitisha jamaa ni noma na mabeberu yanayopinga kasi ya muheshimiwa yanajitahidi kumkwamisha lakini yatashindwa...
 
Hii timu ya samatta hawachezi kwa kujituma hasa kukaba....Liverpool wanacheza kwa kurelax kabisa
 
Lile goli la samatta mabeberu walilokataa kwangu mimi linatosha kuthibitisha jamaa ni noma na mabeberu yanayopinga kasi ya muheshimiwa yanajitahidi kumkwamisha lakini yatashindwa...
Nilikuwa namsikiliza Rio Ferdinand na Peter Crouch kwenye uchambuzi wanasema kwamba hilo goli lingekuwa zuri sana maana so far hakuna aliyefunga goli la kichwa kwa week hii.
 
Hii Genk walivyoondoka wale viungo wawili ndio ikawa hovyo kabisa.
Alessandro Pozuelo na Leandro Trossard.
Na yule mwalimu wao pia.
 
Back
Top Bottom