Timu ya Mbwana Samata, leo kupambana dhidi ya Liverpool

Timu ya Mbwana Samata, leo kupambana dhidi ya Liverpool

Walichoka sana Genk Samatta first half alitumia nguvu nyingi sana...lkn wanastahili pongezi
 
Goli lake lililokataliwa limemtengenezea kamjadala duniani, inatosha
 
Wamebugia four Yaani inne
Ooh ooh sijui beki wa dunia Leo atakoma
Sijui kunde sijui mbaazi ujinga juu ya ujinga
Tubadilike Jamani ukweli utatuweka huru
 
Mechi tatu goli kumi Dah Kama mikia vile
Walivyopigwa africa mwaka jana
hao baaaado sanaaa
 
Back
Top Bottom