Timu ya Riadha ya Tanzania yafuzu kupeperusha bendera Olimpiki

Timu ya Riadha ya Tanzania yafuzu kupeperusha bendera Olimpiki

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Watanzania Felix Simbu, Failuna Matanga na Gabriel Geay, wamefanikiwa kufuzu viwango vya Olimpiki na wanatarajia kuondoka nchini Julai 27, 2021 kuelekea Japan kwa ajili ya mashindano hayo yatakayofanyika mwezi Agosti

Timu ya Taifa ya Riadha ya Tanzania imekabidhiwa bendera ya Taifa, tayari kwa mashindano ya Olimpiki yatakayofanyika nchini Japan Agosti 2021

1626067383116.png
700402B7-5BB4-43CF-98F8-CDF657E4321E.jpeg
4F574161-B8A3-4E7A-9F52-60FA4D9B2260.jpeg
DABE4E59-A0C8-4853-9AEC-28B0BD3757E1.jpeg
 
Back
Top Bottom