Mzalendo39
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 881
- 1,033
Mtanzania mbwana samatta anategemea kuongoza mashambulizi katika club yake ya genk dhidi ya everton
tutagemea makubwa kutoka kwa samatta kwani kwa sasa ndiye mshambuliaji tegemeo la timu ya inayoshiriki ligi kuu ubelgiji
samatta Vs rooney
Sent using Jamii Forums mobile app
tutagemea makubwa kutoka kwa samatta kwani kwa sasa ndiye mshambuliaji tegemeo la timu ya inayoshiriki ligi kuu ubelgiji
samatta Vs rooney
Sent using Jamii Forums mobile app