Timu ya Samatta yasonga mbele katika Europa League

Timu ya Samatta yasonga mbele katika Europa League

Mzalendo_Mkweli

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Posts
2,025
Reaction score
1,270
genk.png


Source : UEFA Europa League - Standings - UEFA.com
Source : UEFA Europa League - Genk-Rapid Wien - UEFA.com
 
Huyu samatta wetu mbona hapewi nafasi, ni nadra sana kuona anaanza , anaingizwa dk za majeruhi au hachezi kabisa
 
Samatta kapooza sana.. Yule mgiriki anamsugulisha benchi
 
Yule mgiriki, January anaondoka, Samantha atatisha sana
 
Hii timu naona kama inapotea kabisa maana mpaka sasa wamekula 4-0 na Samata ndani hapa hamna kitu
 
Inaelekea labda Genk wana very porous defence au labda wanashindwa kubalance kati Europa League na League yao ya ndani. Kipigo cha 6:0 si kidogo hivyo basi lazima wajitahidi kupambambana kuweza kuingia katika sita bora ya ligi yao.
 
Back
Top Bottom