Samatta kiwango kimeshuka sijui tatizo nini... Jana kacheza dk90 ila ht goli hajafunga lile jamaa jamaa la Ugiriki likiingia dk20 tu zinatosha kufunga.Timu anayochezea mtanzania Mbwana Sammata leo inekutana na kipigo safi cha goli 6 kwa bila dhidi ya timu Ya Oostende
Sammata ambaye aliyecheza dk zote 90 ameshindwa kuinusuru timu yake dhidi ya kichapo hicho.
Vichapo vingine Vikubwa katika historia
Man utd 8 Arsenal 2
Kwn anacheza mwnyw,ucwe km zombieSamatta mlimsifia mnoo,na akina Nape sasa mnaona mnavyomharibu? Hapo nyuma hakuwa hivyo
Naona umeamua kunishambulia badala ya kujadili hoja yangu.Kwn anacheza mwnyw,ucwe km zombie
Wabongo wanatamani arudi tu huku tuendelee kuisoma namba huku tukiishi kama MashetaniUkitaka kujiridhisha kuwa watanzania ni wachawi, soma uzi huu!
Ua ndio mnataka kusema kiwango kimeshuka tangu aliponunua lile benzi jekundu!?Samatta kiwango kimeshuka sijui tatizo nini... Jana kacheza dk90 ila ht goli hajafunga lile jamaa jamaa la Ugiriki likiingia dk20 tu zinatosha kufunga.
ajiangalie upya ili asonge mbele zaidi
Mbona husomeki!!?.Hata Madrid aliwahi pigwa 6 bila
Real Madrid 6-0 Barca
Utakuwa hujui kusomaMbona husomeki!!?.
Angalia tena ulichoandika...Utakuwa hujui kusoma