Timu Ya Sammata Yalambwa Bao 6

Timu Ya Sammata Yalambwa Bao 6

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Timu anayochezea mtanzania Mbwana Sammata leo inekutana na kipigo safi cha goli 6 kwa bila dhidi ya timu Ya Oostende

Sammata ambaye aliyecheza dk zote 90 ameshindwa kuinusuru timu yake dhidi ya kichapo hicho.

Vichapo vingine Vikubwa katika historia

Man utd 8 Arsenal 2
 
Wamevunga rekodi ya wazee wa 4G Man u kwa mwaka huu
 
Timu anayochezea mtanzania Mbwana Sammata leo inekutana na kipigo safi cha goli 6 kwa bila dhidi ya timu Ya Oostende

Sammata ambaye aliyecheza dk zote 90 ameshindwa kuinusuru timu yake dhidi ya kichapo hicho.

Vichapo vingine Vikubwa katika historia

Man utd 8 Arsenal 2
Samatta kiwango kimeshuka sijui tatizo nini... Jana kacheza dk90 ila ht goli hajafunga lile jamaa jamaa la Ugiriki likiingia dk20 tu zinatosha kufunga.

ajiangalie upya ili asonge mbele zaidi
 
Uzi huu ulikuwa wa samatta na timu yake haya mengine tulishayasahau wakuu.
 
Samatta mlimsifia mnoo,na akina Nape sasa mnaona mnavyomharibu? Hapo nyuma hakuwa hivyo
 
Hata Madrid aliwahi pigwa 6 bila
Real Madrid 6-0 Barca
 
Samatta kiwango kimeshuka sijui tatizo nini... Jana kacheza dk90 ila ht goli hajafunga lile jamaa jamaa la Ugiriki likiingia dk20 tu zinatosha kufunga.

ajiangalie upya ili asonge mbele zaidi
Ua ndio mnataka kusema kiwango kimeshuka tangu aliponunua lile benzi jekundu!?
 
Back
Top Bottom