Timu Ya Sammata Yalambwa Bao 6

Timu Ya Sammata Yalambwa Bao 6

Ali usikate tamaa mchezo ndivyo ulivyo hata sisi tulidroo na sociedad...
 
Inaonyesha kuwa alifuata Vyema maelekezo ya kocha ndio maana akacheza Dk zote 90. Labda ueleze namna alivyopelekea Matokeo mabaya kwa timu, Binafsi Sioni sababu ya kumlaumu unless angekuwa kocha.
 
Kat ya hzo 6 samata kalambwa 3
Mi naona kwa mujibu wa wadau humu timu yake imefungwa 1 samata kafungwa 5 maana sioni uhusiano wa wa timu yake kulambwa 6 na kushuka kiwango chake !na sijui wanatumia vigezo gani kusema kashuka kiwango au watu hamjui maana ta yeam?
 
Ua ndio mnataka kusema kiwango kimeshuka tangu aliponunua lile benzi jekundu!?
Hatujui sababu ni nini ila ajitathmini upya ulaya sio kama bongo ukishuka kiwango tu msimu wa usajili wanatafuta mbadala wako
 
Samatta kiwango kimeshuka sijui tatizo nini... Jana kacheza dk90 ila ht goli hajafunga lile jamaa jamaa la Ugiriki likiingia dk20 tu zinatosha kufunga.

ajiangalie upya ili asonge mbele zaidi

punyeto...
 
Leo sammata katupia 2 kwenye kombe la ligi timu yake ikishinda 3 kwa 1
 
yaani mleta uzi kama ana bifu na mafanikio ya samata vile,watanzania tuna matatizo ya kuzaliwa
 
yaani mleta uzi kama ana bifu na mafanikio ya samata vile,watanzania tuna matatizo ya kuzaliwa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] aya bana timu ya sammata yashinda 6 achaa maneno yako ndugu kuna uwongo hapo tatizo bana Tz msema ukweli anachukiwa muongo muongo anapendwa...
 
Back
Top Bottom