Timu ya Serengeti Girls yaweka rekodi Bungeni leo Juni 07, 2022

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607

Serengeti Girls imekuwa timu ya kwanza kukaa eneo maalum wanalokaa wabunge kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Juni 7, 202

Timu hiyo imealikwa bungeni baada ya kufuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia litakalofanyika India Oktoba 2022.
 
Rekodi ya kuingia,
Rekodi ya kutoka mapema
 
Hiyo comment yako Ni ya kunyanyapaa, hiyo sauti kapewa na muumba Kama ulivyopewa wewe mkuu
Wala sijamnyanyapaa, maana nimemfananisha na mtu wa jinsia yake
 
Hongera zao hasa Clara Luvanga mwenye sauti yenye Besi kama Halima Mdee
Ila tofauti yao na Clara ni moja.... Clara ni mrembo kama Joash Onyango wakati Halima anafanana na Gwajima
 
Hongera zao kwa kukaribishwa bungeni. Bahati mbaya tu kwao wamekaribishwa na watu wengi wasio na sifa stahiki za kuwemo humo mjengoni.
 
Ila tofauti yao na Clara ni moja.... Clara ni mrembo kama Joash Onyango wakati Halima anafanana na Gwajima
Cameroon wamelalamika kwamba Tanzania inachezesha wanaume. Ishu ngumu sana.

Jana bunge la jimbo la Ohio, nchini Marekani limejadili muswada utakaolazimsha kila mwanamke kuchekiwa kabla ya kuanza mechi ya mchezo wowote.

Kwa sababu hawataki mambo ya kubahatisha na kwa vile kuna uchakachuaji mwingi wa viungo vya uume na uke, uchunguzi wa jinsia hautaishia kwenye hatua ya "fungua chupi, haya pita."

Daktari wa magonjwa ya uzazi atatakiwa kukuingiza mkono kutafuta cervix (mlango wa kizazi) ndani ya uke, na asipoikuta atatumia Sonogram exam kutafuta Ovaries na Uterus. Pale pwnye utata zaidi daktari pia atakuchukua damu ili apime genetic makeup yako (X and Y chromosome) na pia testasterone hormone levels. Akiridhika ndio utaingia uwanjani kama mwanamke.

Sasa Cameroon wao wameilalamikia Tanzania kienyeji bila vigezo vya kisayansi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…