eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
kwani kocha alicheza?Huo ndo ukweli,kocha alichemka sana
Chukueni Mapinduzi Cup then TFF watawasaidia kubadili kanuni ili mshiriki Kimataifa msimu ujaoHuo ndo ukweli,kocha alichemka sana
MIKIA FC...Simba tunanafasi nyingine ya kuwakilisha kimataifa mwaka ujao.
Tukifika fainali ya Club Bingwa Afrika tuta pata ofa ya kucheza Mabingwa Mwakani.
Na pi tutaongeza nafasi moja kwa timu ya Tanzania kuingia kwenye uwakilishi ktk nafasi ya kimataifa.
Hivyo ndivyo ilivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Fainali labda ya uzeeni!!! Mmejitahid sana tena kwa mbinde nafasi ya tatu vinginevyo mtaburuta mkia kama jina lenu lilivyo!!! No swala LA muda tu mtapunguza kelele... Povu sitakiMIKIA FC...
Bro hiki ulichokiandika umekisoma kweli? Simba aingie fainali ya nini?Simba tunanafasi nyingine ya kuwakilisha kimataifa mwaka ujao.
Tukifika fainali ya Club Bingwa Afrika tuta pata ofa ya kucheza Mabingwa Mwakani.
Na pi tutaongeza nafasi moja kwa timu ya Tanzania kuingia kwenye uwakilishi ktk nafasi ya kimataifa.
Hivyo ndivyo ilivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu big up sana ndio maana huwa naheshimu sana michango yako humu JF. You call a spade a spade not a jembe.Huo ndo ukweli,kocha alichemka sana
Ahaa komaeni huko huko mkuuSimba tunanafasi nyingine ya kuwakilisha kimataifa mwaka ujao.
Tukifika fainali ya Club Bingwa Afrika tuta pata ofa ya kucheza Mabingwa Mwakani.
Na pi tutaongeza nafasi moja kwa timu ya Tanzania kuingia kwenye uwakilishi ktk nafasi ya kimataifa.
Hivyo ndivyo ilivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumezungumziwa nafasi ya Simba mwakani kuwakilisha kimataifa.Bro hiki ulichokiandika umekisoma kweli? Simba aingie fainali ya nini?
Yaani ufungwe na Mbao na Mashujaa alafu uwe na uhakika wa kucheza Fainali ya club bingwa Afrikaa!! Ivi porojo za Manara zimewaingia kichwani!!. Ebu jaribu kuingia U-tube uone timu zinazo cheza nusufainali au Fainali ya Club bingwa Afrika zina ukanyaga mpira kiasi gani alafu ufananishe na iyo timu unayo ishabikia.Simba tunanafasi nyingine ya kuwakilisha kimataifa mwaka ujao.
Tukifika fainali ya Club Bingwa Afrika tuta pata ofa ya kucheza Mabingwa Mwakani.
Na pi tutaongeza nafasi moja kwa timu ya Tanzania kuingia kwenye uwakilishi ktk nafasi ya kimataifa.
Hivyo ndivyo ilivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda muingie fainali ya Mapinduzi Cup then TFF abadili kanuni mcheze shirikisho mwaka ujao.Simba tunanafasi nyingine ya kuwakilisha kimataifa mwaka ujao.
Tukifika fainali ya Club Bingwa Afrika tuta pata ofa ya kucheza Mabingwa Mwakani.
Na pi tutaongeza nafasi moja kwa timu ya Tanzania kuingia kwenye uwakilishi ktk nafasi ya kimataifa.
Hivyo ndivyo ilivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sumbawanga Combine 2 Vs Yanga 0Ww umekua Haji manara? Eb ongelea Azam jana mliwafunga goli ngapi eb lete matokeo hpa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kaongea mafumbo,itaingia fainali ya Mapinduzi Cup then TFF watabadili kanuni.Bro hiki ulichokiandika umekisoma kweli? Simba aingie fainali ya nini?