Timu ya Simba ghafla imegeuka kuwa mtumwa

eddy brown

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
414
Reaction score
314
Dharau mbaya ujue!hivi Simba kudharau kombe la FA na kukubali kufungwa na Mashujaa,hii inamaanisha lazima Simba ichukue ubingwa wa ligi kuu ili iwakilishe nchi mechi za kimataifa.Kama ni hivyo itabidi Simba wakubali kua watumwa kwa kuwa wakiteleza na hill kombe,ndo basi tens najua utabisha lakini ndo ukweli uliopo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba tunanafasi nyingine ya kuwakilisha kimataifa mwaka ujao.
Tukifika fainali ya Club Bingwa Afrika tuta pata ofa ya kucheza Mabingwa Mwakani.
Na pi tutaongeza nafasi moja kwa timu ya Tanzania kuingia kwenye uwakilishi ktk nafasi ya kimataifa.
Hivyo ndivyo ilivyo

Bro hiki ulichokiandika umekisoma kweli? Simba aingie fainali ya nini?
 
Ahaa komaeni huko huko mkuu
 
Bro hiki ulichokiandika umekisoma kweli? Simba aingie fainali ya nini?
Kumezungumziwa nafasi ya Simba mwakani kuwakilisha kimataifa.
Nami nimesema bado kuna nafasi mbili zinazotokana na kushinda Ligi ya TPL au kufika Fainali ya Mabingwa.
Hizo ni nafasi ambazo Simba bado inapambania.
Hatuzungumzii kushindwa hapa bali nafasi.
Nafasi ambayo hata huko kwa TPL tunaweza ikosa pia. Maana Yanga au Azam wanaweza kuwa Mabingwa wa TPL kama itakavyokuwa katika ligi ya Mabingwa kutokufika fainali.
Uwe unaelewa kinachozungumziwa kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba tunanafasi nyingine ya kuwakilisha kimataifa mwaka ujao.
Tukifika fainali ya Club Bingwa Afrika tuta pata ofa ya kucheza Mabingwa Mwakani.
Na pi tutaongeza nafasi moja kwa timu ya Tanzania kuingia kwenye uwakilishi ktk nafasi ya kimataifa.
Hivyo ndivyo ilivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ufungwe na Mbao na Mashujaa alafu uwe na uhakika wa kucheza Fainali ya club bingwa Afrikaa!! Ivi porojo za Manara zimewaingia kichwani!!. Ebu jaribu kuingia U-tube uone timu zinazo cheza nusufainali au Fainali ya Club bingwa Afrika zina ukanyaga mpira kiasi gani alafu ufananishe na iyo timu unayo ishabikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba tunanafasi nyingine ya kuwakilisha kimataifa mwaka ujao.
Tukifika fainali ya Club Bingwa Afrika tuta pata ofa ya kucheza Mabingwa Mwakani.
Na pi tutaongeza nafasi moja kwa timu ya Tanzania kuingia kwenye uwakilishi ktk nafasi ya kimataifa.
Hivyo ndivyo ilivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda muingie fainali ya Mapinduzi Cup then TFF abadili kanuni mcheze shirikisho mwaka ujao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom