Nakumbuka msimu uliyopita Yanga walivyotolewa Azam federation na huku mbio za kuwania ligi kuu zikiwa zimemshinda nao walikuwa wakijifariji hivi hivi kwamba tutafika hatua ya fainali ya kombe la shirikisho la Africa kisha tutapata nafasi ya kuwakilisha nchi mwakani wakati huo ni mlima mrefu kuupanda zaidi ya mlima wa ligi kuu.Simba tunanafasi nyingine ya kuwakilisha kimataifa mwaka ujao.
Tukifika fainali ya Club Bingwa Afrika tuta pata ofa ya kucheza Mabingwa Mwakani.
Na pi tutaongeza nafasi moja kwa timu ya Tanzania kuingia kwenye uwakilishi ktk nafasi ya kimataifa.
Hivyo ndivyo ilivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalau leo umeongea ukweli. Safi sanaHuo ndo ukweli,kocha alichemka sana
Uuwiii.Simba tunanafasi nyingine ya kuwakilisha kimataifa mwaka ujao.
Tukifika fainali ya Club Bingwa Afrika tuta pata ofa ya kucheza Mabingwa Mwakani.
Na pi tutaongeza nafasi moja kwa timu ya Tanzania kuingia kwenye uwakilishi ktk nafasi ya kimataifa.
Hivyo ndivyo ilivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliekua anawafanyia hivyo nyie chura siyupo jela saiziChukueni Mapinduzi Cup then TFF watawasaidia kubadili kanuni ili mshiriki Kimataifa msimu ujao
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau ya Kadi tatu za njano kisha unachagua match ya kucheza?Aliekua anawafanyia hivyo nyie chura siyupo jela saizi
Habari ndio hiyo, Simba bado ipo kwenye mapambano na vigogo wenzake wa Soka 16 bora wa Afrika.Uuwiii.
Sawa Boss nasubiria mchukue hilo Kombe ili mpate kushiriki tena mwaka ujao. TehHabari ndio hiyo, Simba bado ipo kwenye mapambano na vigogo wenzake wa Soka 16 bora wa Afrika.
Huu ndio ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio tatizo la wengi hilo, na hasa wasiojiua soka.Sawa Boss nasubiria mchukue hilo Kombe ili mpate kushiriki tena mwaka ujao. Teh