Timu ya Simba ghafla imegeuka kuwa mtumwa

Timu ya Simba ghafla imegeuka kuwa mtumwa

Wana mpango wa kuchukua ubingwa TPL miaka mitano mfulilizo. Issue za Mbao na Mashujaa wa Kigoma ilikuwa kuteleza kidogo tu.
Haji keshasema ubingwa lazima. Nani anaweza kubishana na Nabii Haji Manara?
 
Simba tunanafasi nyingine ya kuwakilisha kimataifa mwaka ujao.
Tukifika fainali ya Club Bingwa Afrika tuta pata ofa ya kucheza Mabingwa Mwakani.
Na pi tutaongeza nafasi moja kwa timu ya Tanzania kuingia kwenye uwakilishi ktk nafasi ya kimataifa.
Hivyo ndivyo ilivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka msimu uliyopita Yanga walivyotolewa Azam federation na huku mbio za kuwania ligi kuu zikiwa zimemshinda nao walikuwa wakijifariji hivi hivi kwamba tutafika hatua ya fainali ya kombe la shirikisho la Africa kisha tutapata nafasi ya kuwakilisha nchi mwakani wakati huo ni mlima mrefu kuupanda zaidi ya mlima wa ligi kuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba tunanafasi nyingine ya kuwakilisha kimataifa mwaka ujao.
Tukifika fainali ya Club Bingwa Afrika tuta pata ofa ya kucheza Mabingwa Mwakani.
Na pi tutaongeza nafasi moja kwa timu ya Tanzania kuingia kwenye uwakilishi ktk nafasi ya kimataifa.
Hivyo ndivyo ilivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Uuwiii.
 
Sawa Boss nasubiria mchukue hilo Kombe ili mpate kushiriki tena mwaka ujao. Teh
Ndio tatizo la wengi hilo, na hasa wasiojiua soka.
Hapo kila timu ni nzuri na inataka itimize malengo yake ya kuchukua ubingwa wa Afrika, atakaye kuwa na mipango mizuri ndiye atakayefanikiwa.
Sasa kawa wenzetu ni watabiri basi wengine hatuna hiyo fani.
Basi nyie Watabiri mtueleze nani na nani wataingia robo fainali na nusu fainali, na nani atachukua huo ubingwa.
Ili hizo timu mnazozitabiria kusindikiza wengine zijitoe mashindanoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom