Timu ya simba haina ofisi

Timu ya simba haina ofisi

mbona na wewe siku nyingine demu wako unambandulia sakafuni au bafuni au ktk makochi na ikibidi hata ktk pori lenye nyasi? muhimu mtalimbo ufanye kazi yake barabara hivyo simba kutumia ofisi ya kapteni wa zamani wa jwtz hanspoppe hakuna tatizo ili mradi tu lile lengo kuu limetimia ambalo ni kutusajilia wachezaji. tofauti ya peter mwalyanzi na xavi hernabdez ni rangi tu na jiografia ila mziki wao una fanana na sipati picha dimba la juu akisimama cha pombe mkude huku dimba la chini akizunguka mwalyanzi huku mbele kukiwa na udambwidambwi wa akina okwi, messi na wengineo. kwa midfiled hii ya simba hakika mashabiki tutakuwa tunatapika mno uwanjani huku tukishuhudi mipira tukiwa tunakunywa wine na bisi meno yote 32 yakiwa nje

unamatatizo mkiambiwa ukweli ili lilekebishwi mnaleta maneno ya hovyo.
mchezaji atamjua hans pope mkimkorofisha na wachezaji wake watafanya mgomo
 
Huwezi amini,kuna baadhi ya wachezaji wa simba hawaja wahi kanyaga pale msimbazi hadi mkataba unaisha.Wengi hawapajui kabisa.
 
Huwezi amini,kuna baadhi ya wachezaji wa simba hawaja wahi kanyaga pale msimbazi hadi mkataba unaisha.Wengi hawapajui kabisa.

na nyie mngekuwa na akili title deed yenu ya jengo la klabu ingeshikiliwa na mtu mmoja yule mzee na tena akiwaendesha? ngojeni achukue jengo lake kama hamjalala pale bondeni ktk mto msimbazi
 
we ANTIBIOTIQUE jifunze kutofautisha kati ya facebook na jamii forum ..kifupi huna kauli nzuri..
 
chupi zile za plumj na muro zilizosombwa na maji yale ya mvua ile kubwa ya mafuriko mmeshaziokota ktk mabonde yale ya mto msimbazi?

Nyie mtafanya utani lakini ukweli unabaki hii ni Aibuu sana shughuli za kiofisi za Simba kufanyiwa kwenye ofisi ya Hans Pope tena wala sio kiongozi wa kuchaguliwa haya mambo jamani si yalikuwa kipindi cha kina Gulamali na Dewji kiukweli Simba haibadiliki amuone Yanga ofisi za viongozi zilivyo kwenye ubora na shughuli zote zinafanyika pale wachezaji wanasajiliwa pale na press conference zinafanyika pale.
 
Back
Top Bottom