Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kwahiyo, baada ya kumdhalilisha Kibu, safari hii wameamua wamdhalilishe Inonga..!! Kweli iga ufe supu ya mawe..!!Leo wamesema jmosi mgeni rasmi ni Inonga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo, baada ya kumdhalilisha Kibu, safari hii wameamua wamdhalilishe Inonga..!! Kweli iga ufe supu ya mawe..!!Leo wamesema jmosi mgeni rasmi ni Inonga.
Mbumbumbu Hawaishiwi vihoja 😁Kwahiyo, baada ya kumdhalilisha Kibu, safari hii wameamua wamdhalilishe Inonga..!! Kweli iga ufe supu ya mawe..!!
Huwa natamani siku moja tutoke kwenye upumbavu na kuwa na akili angalau kwa kiwango Cha asilimia moja tu. Bahati mbaya sana watu wenye akili hizi ni maskini wa kutupwa. Yaani anakaa anafikiria huu ujinga Kisha analeta kwenye public!yambo wakuu!
Kila nikiifanyia tathmini klabu ya soka ya simba sc, maarufu kama mbumbumbu efusii au mwakarobo kama wanavyopenda waitwe na wapenzi wa futibolu nchini naona vihoja na vichekesho visivyoisha.
Kuanzia ngazi ya uongozi, wanachama mpaka chini kabisa kwa mashabiki hoyahoya hii timu imejaa vihoja yaani ukiwatazama makolo ni kama kutizama igizo la futuhi star tv.
Hakuna watu wanaishi kwa maumivu yatakonayo na mafanikio ya Yanga Afrika kama viongozi na mashabiki kutoka mbumbumbu efusii. Na mbaya zaidi hali hii inachagizwa na viongozi wa juu wa kilabu hicho cha togwa chini ya mfalme juha ngungu masta.
Baadhi ya mtiririko wa matukio yao ya kimbumbumbu ni kama yafuatayo.
1# .walipokandwa chuma 5-1 na the almighty Yanga Afrika, uongozi na mashabiki wa mbumbumbu efusii walisingizia wachezaji wao wameuza mechi cha ajabu hadi Leo hakuna mchezaji aliyewahi kupewa adhabu
2#. Kila timu ukifinywa chuma 5 na Yanga sc, wachambuzi na mashabiki wa mbumbumbu efusii wanaiita timu dhaifu cha ajabu wao nao walifirigiswa hizo hizo 5 lakini bado wanadai wanatimu bora kuliko Yanga sc,.hovyoo kabisa
3.# baada ya mkutano mkuu wa yanga sc kutaja bajeti ya timu kuwa bil 23, mbumbumbu na wao wakabadili bajeti yao ya awali iliyokuwa ni bil 13 mpaka bil 26..
4.#Baada ya mafanikio ya Yanga sc msimu uliopita, mbumbumbu efusii nao kwenye mkutano wao mkuu walitaja kuanzisha group la whatsapp na kutembeza kibegi cha jezi kama mafanikio huku mashabiki wao mazuzu na mahayawani wakitoka nje ya mkutano na kujipiga vifua kuwa wao wako mbali mno kimafanikio.."hiki nikituko cha mwaka".
5#.hawajui kama soka ni mchezo wa nyakati, kila mafanikio ya sasa ya Yanga sc lazima waibue historia zao za zamani ambazo hazina uhalisia wowote na mambo ya sasa, hii yote ni ili kuwafariji mashabiki wao ambao wengi ni akili zimejaa Mo juice.
6#. Ndio timu pekee iliyoamua kuacha kutumia uwanja fulani kwa imani za kishirikina kwa kuamini kwamba huo uwanja una ulozi unaowazuia wao kufanya vizuri.
Mpira ni uwekezaji nyie mbumbumbu efusii, Yanga sc imetoka kwenye soka la kuwaangalia simba anafanya nini, na matokeo yake tumewekeza kwenye quality, kwa kifupi yanga inashindana na malengo yake yenyewe nyie mnashindana na Yanga sc, matokeo yake mnaenda kuchukua wachezaji kina kajamba nani, unamuacha Phiri unasajiri Fredy hivi zimetimia kweli nyie!!?, mchezaji anakimbia utasema dume la nyani limetenguliwa tendegu*
Na bado hamjasema, yaani mpaka msemeee kudadadekiiiiiii!
Umeandika kwa hisia kali kama binti mwenye ujauzito wa wiki 3😂😂Na bado hamjasema, yaani mpaka msemeee kudadadekiiiiiii!
Punguza umbea na haraka...topolokwinyoyambo wakuu
Sawaa kolo mzoefu, kula chuma hichoo kudadekiiUmeandika kwa hisia kali kama binti mwenye ujauzito wa wiki 3😂😂
Naanza nawewe, mapumb yanahamia usoniMloge, mwambie Bibi yako.na Yunge wamloge.
Kwahiyo watapiga mkorogo ?Leo wamesema jmosi mgeni rasmi ni Inonga.
Acha ufwala basiyambo wakuu!