Timu ya Simba sc ni kituko cha Taifa

7#. Katika press conference ya Leo msemaji wa Mbumbumbu fc anasema mafanikio ya Yanga sc kuingia Robo fainali ni kutokana na juhudi za Mo😂
 
Huwa natamani siku moja tutoke kwenye upumbavu na kuwa na akili angalau kwa kiwango Cha asilimia moja tu. Bahati mbaya sana watu wenye akili hizi ni maskini wa kutupwa. Yaani anakaa anafikiria huu ujinga Kisha analeta kwenye public!
 
Simba wakipoteza viongozi watatakiwa kujiuzuru tu,hatutakunali suala la kumfukuza kocha kwa ujinga wa viongozi
 
Unajua yanga bado ni wageni kwenye hizi Mambo za kimatifa kwahio muwaache tu watazoea Cha msingi ni kuweka standard na consistent wanazan champion league ni msimu mmoja tu. Timu kua form ni kawaida Sana kwahio hawaelewi maskini furaha imewazidia. Lakin kiuhalisia Simba Wana experience na changamoto ni wachezaji yanga kwa kikosi hiki Cha Simba hawezi kudraw kufika makundi hapo ndio uelewe utofaiti ulipo japo wanapambana Sana Ila watafika tu waneanza mapema lakini Simba ni Simba tu. Na Simba wakituliza kichwa kwenye usajili basi tatizo liko hapo
 
Ndio maana maskini aliyepitiliza ni vigumu kutoboa.
Kamafanikio kiduchu tu, mmeshajiona kama Barca
 
Acha ufwala basi
Huna cha kuongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…