ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Watanzania wengi wamekariri
Wanauchukulia team ya Taifa Ethiopia kizamani
Ethiopia walianzia kwenye project za vijana na Sasa inaanza kuwalipa kwenye senior team.
Ethiopia ni hivi majuzi kampiga Egypt The Pharaoh goli 2 bila
Taifa stars haijaifunga Ethiopia mechi 7 mfululizo, Sasa maajabu Gani yangetokea Jana.
Kwenye club level, team zao zinafanya vyema zikiwa na wachezaji aslimia 100 wa ndani
CBE imeitoa miamba ya soccer ya CS club Villa ya Uganda, tena akimpiga mke ndani
Na hawa CBE wana mechi na Yanga hapo ndo Watanganyika mtanielewa kwamba soccer la Ethiopia limekuwa
Ethiopia na team kama Mauritania, Shelyshels, n.k zimepanda Kwa haraka.
Nyie mpola hapa siasa nyingi
Hamasa za zima moto mtampiga Ethiopia?
Nchi haina Academy, michezo mashuleni haizingatiwi, viwanja vipovu,
Mtake kushindana na nchi zenye process nzuri