eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Kwani wanyonge wetu Shelisheli wame improve siku hizi?Ukija kwenye vilabu vyetu ni kucheza kwa madoido tu
Ukirudi timu ya taifa ni kucheza kiduku swaga tu
Hakuna mpira bali ni maigizo tu
Yaani ni sawa na mgonjwa anaekaribia kufa hukupa matumaini kua amepona
Kumbe anaelekea kufa
Wakati uganda kenya Burundi Rwanda zikiendelea kupaa katika viwango vya soka si tunashuka tu
Kwani wanyonge wetu Shelisheli wame improve siku hizi?