Timu ya taifa isiyoeleweka IPO Tanzania tu

Timu ya taifa isiyoeleweka IPO Tanzania tu

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,379
Ukija kwenye vilabu vyetu ni kucheza kwa madoido tu
Ukirudi timu ya taifa ni kucheza kiduku swaga tu
Hakuna mpira bali ni maigizo tu
Yaani ni sawa na mgonjwa anaekaribia kufa hukupa matumaini kua amepona
Kumbe anaelekea kufa
Wakati uganda kenya Burundi Rwanda zikiendelea kupaa katika viwango vya soka si tunashuka tu
 
golikipa wa TIMU YA TAIFA YA TANZANIA BARA akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa DIA kutokea nchini ethiopia kwenye mashindano ya cecafa challenge

attachment.php
 
Attachments

  • 12311039_1232435316771589_4298543865211515255_n.jpg
    12311039_1232435316771589_4298543865211515255_n.jpg
    56.1 KB · Views: 192
attachment.php

WACHEZAJI Wa KLABY YA MAN U wakielekea mashindanoni
 
Attachments

  • 12360082_1232435666771554_3718741360053409927_n.jpg
    12360082_1232435666771554_3718741360053409927_n.jpg
    64.6 KB · Views: 190
Mkuu umenichekesha sana
Tutafika kweli namna hii
 
Ukija kwenye vilabu vyetu ni kucheza kwa madoido tu
Ukirudi timu ya taifa ni kucheza kiduku swaga tu
Hakuna mpira bali ni maigizo tu
Yaani ni sawa na mgonjwa anaekaribia kufa hukupa matumaini kua amepona
Kumbe anaelekea kufa
Wakati uganda kenya Burundi Rwanda zikiendelea kupaa katika viwango vya soka si tunashuka tu
Kwani wanyonge wetu Shelisheli wame improve siku hizi?
 
Wachezaji njaa kali wanashindia ugali wa mama lishe jioni wanashushia na viroba unategemea nini?
 
Back
Top Bottom