Timu ya Taifa ya Canada wachapwe viboko

Timu ya Taifa ya Canada wachapwe viboko

Bani Israel

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Posts
1,775
Reaction score
3,593
Hakuna mechi nimeangalia imeniuma kama hii ya Ubelgiji dhidi ya Canada.

Yani vijana wanapiga mpira wa uhakika, mpira mtamu, boli linatembea, yaani Ubelgiji leo ilikuwa kama Ihefu kwa Canada aisee. Dakika 90 Canada hawapoi, hawapoi, yaani moto wameupeleka sana aisee. Shida inakuja pale mbele wana Kibu Denis wawili ambao sijui wana mawazo gani wakiwa na mpira.

Majaribio ya magoli 20+ bila goli kweli? Aaii, nimekereka sana leo.
 
Yaani kama vile macho yao yapo kwenye makomwe.

Yanapiga minazi balaa.

Shenzi kabisa.
 
Canada wamecheza kiuanaume sana, intensive high line pressing muda wote.. ni upuuzi tu wa wamaliziaji ndo umechangia. Jonathan David kawafelisha sana mwenzie.

Ila nimefurahi wana timu ya vijana sana kama yule Buchanan, halafu wako sharp wana pace..
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Belgium leo kafundishwa modern football.. kinachonifurahisha mpira wa siku hizi unaweza ukawa na timu yenye wachezaji wenye majina makubwa lakini kama huna mbinu basi ukafundishwa mpira uwanjani!

Ndo kilichotokea leo. Well done Canadians.
 
Hakuna mechi nimeangalia imeniuma kama hii ya BELGIUM VS CANADA

Yani vijana wanapiga mpira wa uhakika mpira mtamu boli linatembea yani Ubelgiji leo ilikuwa kama IHEFU kwa Canada aisee 90min...
🤣🤣🤣🤣Kupiga mashuti mengi hakuongezi uwezekano wakushinda mechi. Hizo ni hisia zako na sio uhalisi wa mambo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kupiga mashuti mengi hakuongezi uwezekano wakushinda mechi. Hizo ni hisia zako na sio uhalisi wa mambo
unaelewa maama ya goal atempts au umeshashiba mihogo unaanza kutubeulia hapa? wapi nimetaja shoots?
 
Ohoooo! mnaleta chenga twawala hapa.
Ndo kashapapaswa hivyo
 
Hakuna mechi nimeangalia imeniuma kama hii ya Ubelgiji dhidi ya Canada.

Yani vijana wanapiga mpira wa uhakika, mpira mtamu, boli linatembea, yaani Ubelgiji leo ilikuwa kama Ihefu kwa Canada aisee. Dakika 90 Canada hawapoi, hawapoi, yaani moto wameupeleka sana aisee. Shida inakuja pale mbele wana Kibu Denis wawili ambao sijui wana mawazo gani wakiwa na mpira.

Majaribio ya magoli 20+ bila goli kweli? Aaii, nimekereka sana leo.
Kawanunulie chai mkunywe pamoja.Mkuu
 
Belgium leo kafundishwa modern football.. kinachonifurahisha mpira wa siku hizi unaweza ukawa na timu yenye wachezaji wenye majina makubwa lakini kama huna mbinu basi ukafundishwa mpira uwanjani!

Ndo kilichotokea leo. Well done Canadians.
Wamepata nini?
 
Mchezo mkuu wa taifa wa Canada ni Hockey, ndio maana huoni hata mweupe hapo, wengi wa wachezaji hapo ni immigrant.

Halafu ngozi nyeusi kwenye mpira toka lini ikafunga, ukitaka ifanye vizuri hakikisha unaichanganya na nyeupe na ndio maana France wanafanya vema.
Nadhani unakosea kuwaita Immigrant team nzima wachezaji watatu tu wamezaliwa nje ya Canada wote ni wazaliwa wa Canada hata hao wengine pamoja na kuzaliwa nje ni wa Canada ukiondoa kina Alphonse walikuja mdogo akiwa mkimbizi. Canada ni nchi imechanganyika sana usione rangi ukawaita wahamiaji ni wa Canada. Ila team nzuri sana
 
Nashukuru kwa Masahihisho, nimekosea kweli.
 
Back
Top Bottom