Timu ya taifa ya Chad yajitoa michuano ya kufuzu kombe la mataifa ya Afrika (AFCON 2017)

Timu ya taifa ya Chad yajitoa michuano ya kufuzu kombe la mataifa ya Afrika (AFCON 2017)

Mmmh....simba ndo huwa wanajitoa hadi kuweka mpira kwapani

yanga ndio wana aleji na simba,wakihisi watakutanishwa na simba kny mashindano yoyote ukiachana na ligi kuu huanza kutoa sababu za kutoshiriki michuano hyo
 
jamaaa wamepigw Game tatu za home mfululizo wamebskisha za away tatu wakaona mmmh ngoma nzito bora kusarenda tu
 
Sasa sie tuliokata tket ,pesa zetu inakuwaje? Malinzi hakawii kuwaleta waganda tucheze mechi ya kirafiki
 
Sasa sie tuliokata tket ,pesa zetu inakuwaje? Malinzi hakawii kuwaleta waganda tucheze mechi ya kirafiki
Na mimi nilikuwa nawaza kama wewe, inakuwaje kwa wale ambao wamenunua tiketi naona kama kuna kaukimya flani hivi amazing, lets wait and see....
 
....Taifa Starz sasa ndio ya mwisho kwenye hilo kundi,CAF wamefuta matokeo yote ya timu zilizocheza na Chad, which means tuna point moja,Nigeria wana mbili,Misri wana nne..tuombee Mungu mechi ya Egypt na Nigeria watoke suluhu tena,vinginevyo hali yetu ni mbaya,lazima tumfunge Egypt dsm mwezi wa sita,halafu angalau tuka draw na Nigeria away mwezi wa tisa tuone itakavyokuwa.
 
...by now tuna pointi moja tu,baada ya CAF kufuta matokeo ya timu zote zilizocheza na Chad,Nigeria wana mbili na Misri wana nne.
Hebu tupambane na hivyo vigogo tujione uwezo wetu umefikia wapi,ukisema Chad wamejitoa kama ni hujuma,unadhani Misri na Nigeria wasingeweza kuwafunga hao Chad?!
 
Swali kubwa hapa ni Tanzania tunanufaikaje na kujitoa huku??

Jibu ni hakuna unufaikaji wowote, maana hao jamaa Misri na Nigeria kuashinda ni ndoto za mchana saa tisa baada ya kulewa shibe ya pilau la pasaka
...inawezekana kuwafunga,hebu tukapambane nao tuache uoga,mpira siku zote uwanjani.
 
Kwa Nilivyomwona Sammata alivyonamunkali ya kucheza kiuzalendo na kiteam work...TUTAPAMBANA TUTASHINDA.
 
Unavyosema Tanzania imehujumiwa ina maana na Nigeria na Egypt pia maana na wenyew walikuw eanategemea point kwa chad, simply ni kwamba hamna mabadiliko hapo kweny point labd tuongelee kweny idadi ya timu zitakazoingia kutoka kwenye kundi lao ikiwa ni moja ndo itakuwa mbay
 
alafu kinachoumiza zaidi itapita Team moja tuu kwenye hili group G.
hata kama mechi ya kesho Nigeria akimfunga Misri basi tutatakiwa sisi tushinde mechi mbili zilizobaki. ila kama Misri akimfunga Nigeria kesho basi na sisi ndo tumeshatoka hivyo
 
tumejitoa kivipi?
 
Na mimi nilikuwa nawaza kama wewe, inakuwaje kwa wale ambao wamenunua tiketi naona kama kuna kaukimya flani hivi amazing, lets wait and see....
Nimemsikiliza Malinzi asubuhi ya leo, anachosema hata yeye hajui itakuwaje kuhusu pesa za watu,
 
namaanisha kuwa kama Misri akimfunga Nigeria atakuwa amefikisha point 7 tayari.. hivyo sisi hali yetu itakuwa mbaya zaidi hata kama tutashinda mechi zote zilizobaki
Nimekuelewa Mkuu!! Ahsante Kwa Uchambuzi Mzuri![emoji106]
 
Kwa sasa Team Yetu Ipo Na Munkali....

Namshauri Kocha Mkwasa asisahau pia kuwatrain wachezaje hata kwa kuimba nyimbo za taifa mara kwa mara mfano: wimbo wa tanzania tanzania nakupenda kwa moyo wote, Na wimbo wa taifa..Nadhani hii pia itawajaza uzalendo kuwa wanakwenda kuiwakilisha nchi..Hivyo watapigana kufa na kupona hata ushindi upatikane....

Haya ni mawazo yangu Hakuna kigumu kwenye mpira wakiamua kushinda wanaweza ili mradi wawe kitu kimoja wapigane kama wanavyopigania kula pale ambapo njaa zimewauma....

Go Go My Team I wish all the best...Tupo pamoja nyuma yenu...
 
Back
Top Bottom