Ni kweli mkuu nimeona tweets za Caf muda huu. Hata wewe uki google utaona.Ama..!Taarifa hii ni rasmi?!
Mmmh....simba ndo huwa wanajitoa hadi kuweka mpira kwapani
Tuna mlima mrefu wa kupandaHizo mechi hapo TZ ni maumivu tu
Na mimi nilikuwa nawaza kama wewe, inakuwaje kwa wale ambao wamenunua tiketi naona kama kuna kaukimya flani hivi amazing, lets wait and see....Sasa sie tuliokata tket ,pesa zetu inakuwaje? Malinzi hakawii kuwaleta waganda tucheze mechi ya kirafiki
...inawezekana kuwafunga,hebu tukapambane nao tuache uoga,mpira siku zote uwanjani.Swali kubwa hapa ni Tanzania tunanufaikaje na kujitoa huku??
Jibu ni hakuna unufaikaji wowote, maana hao jamaa Misri na Nigeria kuashinda ni ndoto za mchana saa tisa baada ya kulewa shibe ya pilau la pasaka
NI kiweli mkuu, let us give it a try...inawezekana kuwafunga,hebu tukapambane nao tuache uoga,mpira siku zote uwanjani.
tumejitoa kivipi?alafu kinachoumiza zaidi itapita Team moja tuu kwenye hili group G.
hata kama mechi ya kesho Nigeria akimfunga Misri basi tutatakiwa sisi tushinde mechi mbili zilizobaki. ila kama Misri akimfunga Nigeria kesho basi na sisi ndo tumeshatoka hivyo
namaanisha kuwa kama Misri akimfunga Nigeria atakuwa amefikisha point 7 tayari.. hivyo sisi hali yetu itakuwa mbaya zaidi hata kama tutashinda mechi zote zilizobakitumejitoa kivipi?
Nimemsikiliza Malinzi asubuhi ya leo, anachosema hata yeye hajui itakuwaje kuhusu pesa za watu,Na mimi nilikuwa nawaza kama wewe, inakuwaje kwa wale ambao wamenunua tiketi naona kama kuna kaukimya flani hivi amazing, lets wait and see....
Nimekuelewa Mkuu!! Ahsante Kwa Uchambuzi Mzuri![emoji106]namaanisha kuwa kama Misri akimfunga Nigeria atakuwa amefikisha point 7 tayari.. hivyo sisi hali yetu itakuwa mbaya zaidi hata kama tutashinda mechi zote zilizobaki