Kimsingi hakuna cha muhimu kilichobadilika kwa Chad kujitoa.Cha tofauti ni kuwa tungemaliza nafasi ya tatu kwenye group ketu kama wasingejitoa.Wao wangekuwa wa mwisho.Nafasi ambayo haitupi chochote.Baada ya kujitoa tutamaliza nafasi ileile ya tatu lakini wa mwisho.Sasa kama tunamlalamikia Chad kujitoa basi tunamlalamikia kwakuwa amesababisha tuwe wa mwisho kwenye group.A thing which is ridiculous!
Tukiwafunga hawa giants wawili nafasi bado ipo.Na ni vilevile hata wasingejitoa Chad.Bila kuwafunga Nigeria na Misri tusingefanikiwa chochote.Chad ni constant factor ambayo ingempa kila nchi kwenye group 6 points.Kujitoa kwake kunaipa kila timu zeto point.Kwahiyo ni vilevile tu kufuzu kutategemea matokeo ya timu 3 tu na ambazo ndo zimebaki.Tuache kulialia tuwafunge hawa waliopo
Hivi unajua Misri ( Farao) na Taifa Starz ipi iliyoumizwa na hii taarifa ya Kujiondoa Chad!!!!! Mwenzio alimpiga tano huko huko kwao Chad na starz alipata kamoko, je nani ataumizwa na hii taarifa!!!!!!!Dah! Fitna za Misri zimetutia kidole.
Ndo bye bye tena.
Swali kubwa hapa ni Tanzania tunanufaikaje na kujitoa huku??
Jibu ni hakuna unufaikaji wowote, maana hao jamaa Misri na Nigeria kuashinda ni ndoto za mchana saa tisa baada ya kulewa shibe ya pilau la pasaka
Sasa imekuwa mbaya Zaidi maana tumebakiwa Na point 1....Hii mbaya sana kwetu.
Tushinde mechi zote mbili kitu ambacho hakiwezekaniSasa imekuwa mbaya Zaidi maana tumebakiwa Na point 1....
Mheshimiwa edit post yako.Kwani kila kundu linatoa timu ngapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jecha kila mahali afrika..