Timu ya taifa ya England imepata pigo kubwa kwa kuibiwa vifaa kabla ya mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Timu ya taifa ya England imepata pigo kubwa kabla ya mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia. Kiasi kikubwa cha vifaa vya timu kimeibwa Kansas City, Marekani, wakati vilipokuwa vinasafirishwa kutoka Florida kwenda kambi yao ya mazoezi.

SnapInsta.to_723961812_18623858644036669_7027354126185893302_n.jpg
Vitu vilivyotajwa kuibiwa ni pamoja na:

• Viatu vya wachezaji (match boots) — ikiwemo vya nyota kama Harry Kane na Jude Bellingham.
• Vifaa vya mazoezi (training gear).
• Vifaa vya wakufunzi (coaching staff equipment).
• Mipira ya mechi (match balls na tournament balls).
• Sare za siku ya mechi (match-day uniforms).

Wizi huo ulitokea ndani ya gari au lori (van/truck) lililokuwa likibeba mizigo ya timu. Kambi ya England inashirikiana na polisi wa Kansas City ili kurejesha vitu hivyo au kupata mbadala haraka ili mazoezi yaendelee kama ilivyopangwa chini ya kocha Thomas Tuchel.

SnapInsta.to_724138651_18623858677036669_2268998078929986130_n.jpg
Polisi wa Kansas City wamesema wameshika watu wawili kufanyia uchunguzi zaidi. Timu inatarajiwa kufika Kansas City na kuanza mazoezi hivi karibuni, na mechi yao ya kwanza ni dhidi ya Croatia siku ya jumatano tarehe 17, Juni 2026.

Je, unaliona hili tukio likiwatoa mchezoni Uingereza katika Kombe la Dunia?

SnapInsta.to_724261479_18623858668036669_8977936653062484785_n.jpg
SnapInsta.to_724024569_18623858653036669_9089978869576227604_n.jpg

Pia soma: FT: Ufunguzi Kombe la Dunia 2026 | Mexico 2-0 Afrika Kusini | Uwanja: Estadio Azteca | Mexico City
 
Timu ya taifa ya England imepata pigo kubwa kabla ya mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia. Kiasi kikubwa cha vifaa vya timu kimeibwa Kansas City, Marekani, wakati vilipokuwa vinasafirishwa kutoka Florida kwenda kambi yao ya mazoezi.

Vitu vilivyotajwa kuibiwa ni pamoja na:
• Viatu vya wachezaji (match boots) — ikiwemo vya nyota kama Harry Kane na Jude Bellingham.
• Vifaa vya mazoezi (training gear).
• Vifaa vya wakufunzi (coaching staff equipment).
• Mipira ya mechi (match balls na tournament balls).
• Sare za siku ya mechi (match-day uniforms).

Wizi huo ulitokea ndani ya gari au lori (van/truck) lililokuwa likibeba mizigo ya timu. Kambi ya England inashirikiana na polisi wa Kansas City ili kurejesha vitu hivyo au kupata mbadala haraka ili mazoezi yaendelee kama ilivyopangwa chini ya kocha Thomas Tuchel.

Polisi wa Kansas City wamesema wameshika watu wawili kufanyia uchunguzi zaidi. Timu inatarajiwa kufika Kansas City na kuanza mazoezi hivi karibuni, na mechi yao ya kwanza ni dhidi ya Croatia siku ya jumatano tarehe 17, Juni 2026.

Je, unaliona hili tukio likiwatoa mchezoni Uingereza katika Kombe la Dunia?

Pia soma: FT: Ufunguzi Kombe la Dunia 2026 | Mexico 2-0 Afrika Kusini | Uwanja: Estadio Azteca | Mexico City
Kumbe US kuna vibaka?...

Kiranga
 
Shida inatokana na sera feki za chama cha Democratic Party ambazo zinaruhusu wazamiaji kuingia Marekani na kisha kupewa uraia na haki ya kupiga kura ili wawapigie kura chama hicho.

Matokeo yake ndio hayo, sasa hivi Marekani imejaa vibaka kutokana na sera hizo za chama cha Democratic Party na hii ndio moja ya sababu kuu inayofanya Trump apate kura za wazungu wengi wanaochukia sera mbovu za Democratic Party za kuwakaribisha wageni walala hoi.
 
Pamoja na hayo ila Mzee Trump ana ka-ubaguzi Fulani ndio maana haachi kumsakama Ilhan Omar..

Kiranga
 
Timu ya taifa ya England imepata pigo kubwa kabla ya mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia. Kiasi kikubwa cha vifaa vya timu kimeibwa Kansas City, Marekani, wakati vilipokuwa vinasafirishwa kutoka Florida kwenda kambi yao ya mazoezi.

Vitu vilivyotajwa kuibiwa ni pamoja na:

• Viatu vya wachezaji (match boots) — ikiwemo vya nyota kama Harry Kane na Jude Bellingham.
• Vifaa vya mazoezi (training gear).
• Vifaa vya wakufunzi (coaching staff equipment).
• Mipira ya mechi (match balls na tournament balls).
• Sare za siku ya mechi (match-day uniforms).

Wizi huo ulitokea ndani ya gari au lori (van/truck) lililokuwa likibeba mizigo ya timu. Kambi ya England inashirikiana na polisi wa Kansas City ili kurejesha vitu hivyo au kupata mbadala haraka ili mazoezi yaendelee kama ilivyopangwa chini ya kocha Thomas Tuchel.

Polisi wa Kansas City wamesema wameshika watu wawili kufanyia uchunguzi zaidi. Timu inatarajiwa kufika Kansas City na kuanza mazoezi hivi karibuni, na mechi yao ya kwanza ni dhidi ya Croatia siku ya jumatano tarehe 17, Juni 2026.

Je, unaliona hili tukio likiwatoa mchezoni Uingereza katika Kombe la Dunia?

Pia soma: FT: Ufunguzi Kombe la Dunia 2026 | Mexico 2-0 Afrika Kusini | Uwanja: Estadio Azteca | Mexico City
Welcome to the US buddies.
 
Back
Top Bottom