Timu ya taifa ya England imepata pigo kubwa kwa kuibiwa vifaa kabla ya mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia

Wala wasipate shida. Mtu aliyepewa tenda ya kusafirisha hivyo vifaa ndiye atakayehusika kuvirejesha.
 
kuna ile ya magenge ya wauza mihadarati kuwapenda wachezaji wa iran, nilishindwa kuelewa ni upendo upi hasa.
Adui wa adui yako ni rafiki yako,
Hayo magenge hayapatani na US

Na Iran wamesimama imara kuilinda nchi yao dhidi ya vitisho na mashambulizi ya US.
 
Wale wamarekani weusi wa Nzega vijijini na Tegeta kwa ndevu,waje watuambie,huo ulinzi wa US unaosifiwa ulikua wapi mpaka vifaa vya UK kuibwa?
 
Hao England Hawakuangalia Movie ya Eddie Murphy "Coming to America" wangejifunza
 
Haluuuu..h! Ni kama uporaji wa Kura za CHADEMA yanayofanya ma CCM huku eti eeh...!!?
Noma Kuu.
Ni tofauti maanake huko uporaji umefanywa na vibaka wakati huku uporaji wa kura ni mkakati mahususi unaoandaliwa na ccm kikishirikiana na serikali yake dhalimu.
 
Hii habari ni aibu kubwa kwa taifa kubwa la USA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…