Timu ya Taifa ya mpira wa miguu

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Binafsi nilifuatilia mchezo baina ya Tanzania na Guinea ya Ikweta. Niseme kutoka rohoni hatuna timu ya Taifa. Mchezo waliocheza siku ile ni mbovu sana. Naishauri TFF kwanza tujitoe kwenye michezo ya Kimataifa. Tusuke timu kwanza ndipo turudi kwenye mashindano. Rais wa TFF ajiuzulu na tangu ashike wadhifa huo hakuna matokeo chanya Timu ya Taifa imepata. Ni bora hata tungepeleka timu ya Ihefu ikacheza nao tungepata matokeo chanya. Inauma sana.
 
Hatuwezi kujitoa kwa sababu hilo ni kosa kwa mujibu wa sheria za Fifa na Caf.
Mi mpaka leo sijajua shida ni nini hasa mpaka timu yetu haifanyi vizuri
 
Mkuu wako na Majonzi
Kumbuka nao ni Wanyonge [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…