Timu ya taifa ya Soka ya watu wafupi nchini Sudan yajiandaa kwa Kombe la Dunia 2026

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya watu wenye kimo kifupi nchini Sudan, inapambania ndoto yake ya kucheza Kombe la Dunia licha ya vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.

Timu hiyo inajiandaa kwa ajili ya Kombe la Dunia la Mpira wa Miguu la Watu Wenye Kimo Kifupi 2026, linalotarajiwa kufanyika mjini Rabat, Morocco, kuanzia Novemba 20 hadi 30 mwaka huu.

Kwa sasa wanafanya mazoezi jijini Khartoum, licha ya changamoto zilizosababishwa na vitu vinavyoendelea nchini Sudan, ndoto yao kubwa ni kuiwakilisha Sudan katika michuano hiyo ya kimataifa.





 
Duh
 
Magoli inatakiwa yawe ya watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…