Timu ya Taifa ya Tanzania ( Taifa Stars) yapangwa kundi B CHAN 2025

Mributz

Senior Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
177
Reaction score
527
Timu ya Tanzania ( Taifa Stars ) imepangwa kundi B michuano ya CHAN 2025 itakayofanyika mwezi wa nane mwaka huu. Ambapo Tanzania, Kenya na Uganda ndiyo wenyeji wa michuano hii ambayo ilitarajiwa kufanyika mwezi wa pili mwaka huu 2025, kabla ya kupelekwa mbele na CAF kutokana na sababu za kimiundombinu ikiwa bado aipo sawa katika viwanja

Soma Pia: Michuano ya CHAN yasogezwa mbele hadi mwezi August, 2025

Kundi B
1.Tanzania
2.Madagascar
3.Central Africa
4.Mauritania
5.Burkinafaso
IMG_20250115_210842_413.jpg
 
Tanzania itakutana na kundi lisilo gumu sana lenye team za
1.Tanzania
2.Madagascar
3.Central Africa
4.Mauritania
5.Burkinafaso
Mrisho Ngasa ametuwakilisha vema sana huku akimpa Maua yake Rais Samia Suluhu Hassani
 
hilo kundi gumu sana hawa burknafaso si walikuwa mapinduzi..na hii timu yetu tulivyokuwa ulimi nje mapinduzi cup eti hadi kenya na zanzibar walitutoa jasho kwa hawa tutafurukuta kweli.?
 
Kwa jinsi kundi letu lilivyo, tukishindwa kuchukua kwenda robo fainali basi itatulazimu twende kwenye kaburi la Hayati Mzee Rukhsa tukaombe radhi 🙌
 
Manyang'au lazima washike mkia kwenye kundi lao. Na kichwa cha mwendawazimu washindwe wenyewe tu kwenda hatua inayofuata.
 
Kenya wamefanyiwa ubaya ubwela.

Walitumia vigezo gani kupanga hayo makundi mbona hayajabalance?
 
Timu ya Tanzania ( Taifa Stars ) imepangwa kundi B michuano ya CHAN 2025 itakayofanyika mwezi wa nane mwaka huu. Ambapo Tanzania, Kenya na Uganda ndiyo wenyeji wa michuano hii ambayo ilitarajiwa kufanyika mwezi wa pili mwaka huu 2025, kabla ya kupelekwa mbele na CAF kutokana na sababu za kimiundombinu ikiwa bado aipo sawa katika viwanja

Soma Pia: Michuano ya CHAN yasogezwa mbele hadi mwezi August, 2025

Kundi B
1.Tanzania
2.Madagascar
3.Central Africa
4.Mauritania
5.Burkinafaso
Kundi bwabwa, Kenya kundi lao dah.... nawaonea huruma. Wanaweza kutoka bila hata point moja.
Morocco
Angola
DR Congo
Zambia
Kenya
 
Kundi la Taifa Stars ni jepesi washindwe wao tu
 
Tanzania tunatoboa, kama siyo final basi angalau nusu.
 
Tanzania itakutana na kundi lisilo gumu sana lenye team za
1.Tanzania
2.Madagascar
3.Central Africa
4.Mauritania
5.Burkinafaso
Mrisho Ngasa ametuwakilisha vema sana huku akimpa Maua yake Rais Samia Suluhu Hassani
Samia anahusikaje hapa sasa.
Au ndiye amesababisha kupangwa kwny kundi la ahueni..
Mbona sijasikia wawakilishi wa nchi nyingine ktk droo ile wakitaja kuhusikq kwa Maraisi wao.

Mbona tumekuwa watu wa ajabu sana wabongo..Culture gani hii
 
Timu ya Tanzania ( Taifa Stars ) imepangwa kundi B michuano ya CHAN 2025 itakayofanyika mwezi wa nane mwaka huu. Ambapo Tanzania, Kenya na Uganda ndiyo wenyeji wa michuano hii ambayo ilitarajiwa kufanyika mwezi wa pili mwaka huu 2025, kabla ya kupelekwa mbele na CAF kutokana na sababu za kimiundombinu ikiwa bado aipo sawa katika viwanja

Soma Pia: Michuano ya CHAN yasogezwa mbele hadi mwezi August, 2025

Kundi B
1.Tanzania
2.Madagascar
3.Central Africa
4.Mauritania
5.Burkinafaso
Vibonde na vilaza.....kazi kwenuuuu
 
Back
Top Bottom