mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Hapa Tanzania asiposhinda kundi lake basi tutakuwa tumelaaniwa na Mze Mpili wa YangaTimu ya Tanzania ( Taifa Stars ) imepangwa kundi B michuano ya CHAN 2025 itakayofanyika mwezi wa nane mwaka huu. Ambapo Tanzania, Kenya na Uganda ndiyo wenyeji wa michuano hii ambayo ilitarajiwa kufanyika mwezi wa pili mwaka huu 2025, kabla ya kupelekwa mbele na CAF kutokana na sababu za kimiundombinu ikiwa bado aipo sawa katika viwanja
Soma Pia: Michuano ya CHAN yasogezwa mbele hadi mwezi August, 2025
Kundi B
1.Tanzania
2.Madagascar
3.Central Africa
4.Mauritania
5.Burkinafaso