Likiongozwa na kibonde mkuu TanzaniaKundi la vilaza
Hapo Kila timu inahesabu tayari ina point tatu za taifa Stars.Vibondee tushindwe wenyewe
View attachment 3202842
Kenya wamesha umaliza MwendoNawaonea huruma Kenya
Kumbuka hii ni CHAN sio AFCON. Kuna baadhi ya nchi wachezaji wake wakali wapo wanakipiga njeNawaonea huruma Kenya
Kundi bwabwa, Kenya kundi lao dah.... nawaonea huruma. Wanaweza kutoka bila hata point moja.Timu ya Tanzania ( Taifa Stars ) imepangwa kundi B michuano ya CHAN 2025 itakayofanyika mwezi wa nane mwaka huu. Ambapo Tanzania, Kenya na Uganda ndiyo wenyeji wa michuano hii ambayo ilitarajiwa kufanyika mwezi wa pili mwaka huu 2025, kabla ya kupelekwa mbele na CAF kutokana na sababu za kimiundombinu ikiwa bado aipo sawa katika viwanja
Soma Pia: Michuano ya CHAN yasogezwa mbele hadi mwezi August, 2025
Kundi B
1.Tanzania
2.Madagascar
3.Central Africa
4.Mauritania
5.Burkinafaso
Huenda likawa na matokeo ya kushangazaKundi la vilaza
Samia anahusikaje hapa sasa.Tanzania itakutana na kundi lisilo gumu sana lenye team za
1.Tanzania
2.Madagascar
3.Central Africa
4.Mauritania
5.Burkinafaso
Mrisho Ngasa ametuwakilisha vema sana huku akimpa Maua yake Rais Samia Suluhu Hassani
Vibonde na vilaza.....kazi kwenuuuuTimu ya Tanzania ( Taifa Stars ) imepangwa kundi B michuano ya CHAN 2025 itakayofanyika mwezi wa nane mwaka huu. Ambapo Tanzania, Kenya na Uganda ndiyo wenyeji wa michuano hii ambayo ilitarajiwa kufanyika mwezi wa pili mwaka huu 2025, kabla ya kupelekwa mbele na CAF kutokana na sababu za kimiundombinu ikiwa bado aipo sawa katika viwanja
Soma Pia: Michuano ya CHAN yasogezwa mbele hadi mwezi August, 2025
Kundi B
1.Tanzania
2.Madagascar
3.Central Africa
4.Mauritania
5.Burkinafaso