Timu ya Tanzania ( Taifa Stars ) imepangwa kundi B michuano ya CHAN 2025 itakayofanyika mwezi wa nane mwaka huu. Ambapo Tanzania, Kenya na Uganda ndiyo wenyeji wa michuano hii ambayo ilitarajiwa kufanyika mwezi wa pili mwaka huu 2025, kabla ya kupelekwa mbele na CAF kutokana na sababu za kimiundombinu ikiwa bado aipo sawa katika viwanja
Tanzania itakutana na kundi lisilo gumu sana lenye team za
1.Tanzania
2.Madagascar
3.Central Africa
4.Mauritania
5.Burkinafaso
Mrisho Ngasa ametuwakilisha vema sana huku akimpa Maua yake Rais Samia Suluhu Hassani