Timu ya Taifa ya Uingereza iheshimiwe

Timu ya Taifa ya Uingereza iheshimiwe

Waingereza hawaimbwi sana,lakini naona kabisa hawa jamaa watafanya kitu watu watashangaa,shida tunakariri Maisha..ikumbukwe hawa jamaa walitolewa nusu fainali na croatia kwa mbinde sana weldi kapu iliyopita pale Russia kocha huyuhuyu Southgate na 80%+ wachezaji ni walewale
 
Jana wamepiga bomu mochwari wanaona wameweza

Ngoja uone king messi leo atakavyo wapiga waarabu 10-0

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu haujazimia huko uliko leo?.
Mpaka sasa England wamefanya kitu kilichowashinda wengine wote.
Pia kitendo cha kuwa kwenye tano bora ya Dunia bado ni kiashiria tosha kuwa wako vizuri.
 
Back
Top Bottom