Timu Ya Taifa ya Uingereza yapiga tizi na Masoja

Haya mazoezi yakiamia kwa TaifA stars, nazani kila mchezaji atachomoa kuitwa timu ya taifa
 
Ni mbinu nzuri sana kuwajenga kisaikolojia.
Hata hivyo, England bado sana. Wapowapo.
Ninachowapenda, jamaa wanajua kujifariji na hivyo kuwafanya wawe watu wenye furaha kwa muda mrefu kuanzia mechi za awali hadi world cup. Hawataki stress. Big up Englishmen.
 
Haya mazoezi yakiamia kwa TaifA stars, nazani kila mchezaji atachomoa kuitwa timu ya taifa
Sijaona updates za kilichokuwa kinafanyika huko Misri...but I heard walikuwa kwenye kambi ya jeshi?
 
It's true kwamba kisaikolojia itawaletea matokeo, probably kwenye kile wanachokihitaji. Mambo mengi kwasasa yanafanyika scientifically zaidi ndiyo maana hawa jamaa wanajitahidi to take advantage ya researchers na uwezo wa rasilimali. Ila kwenye born talents, jamaa ndiyo hawa aisee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…