Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazza dropped ila Marcus yupoMbona sijawaona Rush ford na Wazza...
...sheep dip, mazoezi ya pressure handling...ahahahahahaHahaaa naona sterlin anachemka tu apo
Sijaona updates za kilichokuwa kinafanyika huko Misri...but I heard walikuwa kwenye kambi ya jeshi?Haya mazoezi yakiamia kwa TaifA stars, nazani kila mchezaji atachomoa kuitwa timu ya taifa
It's true kwamba kisaikolojia itawaletea matokeo, probably kwenye kile wanachokihitaji. Mambo mengi kwasasa yanafanyika scientifically zaidi ndiyo maana hawa jamaa wanajitahidi to take advantage ya researchers na uwezo wa rasilimali. Ila kwenye born talents, jamaa ndiyo hawa aisee...Ni mbinu nzuri sana kuwajenga kisaikolojia.
Hata hivyo, England bado sana. Wapowapo.
Ninachowapenda, jamaa wanajua kujifariji na hivyo kuwafanya wawe watu wenye furaha kwa muda mrefu kuanzia mechi za awali hadi world cup. Hawataki stress. Big up Englishmen.