Timu ya taifa ya Wanawake ya Zanzibar imefungwa magoli 10 kwa 1 na Burundi

Timu ya taifa ya Wanawake ya Zanzibar imefungwa magoli 10 kwa 1 na Burundi

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Habari wanamichezo wa JF.

Timu ya Taifa ya Soka ya Zanzibar ya wanawake, imefungwa kwa tabu sana magoli 10 kwa 1 dhidi ya Burundi, katika michuano ya CECAFA Challenge, Wanawake, nchini Uganda.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watakuwa mwisho mwa mchezo walikataa kuwapa mikono wachezaji wa Burundi
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ila sio kubeza tunatakiwa tuhuzunike [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji26][emoji26][emoji26]
 
JECHA ni refa bora kama kuna tuzo mpeni huyu mzee.
 
Were they playing while being blindfolded?...
 
Back
Top Bottom