Timu ya taifa ya Wanawake ya Zanzibar imefungwa magoli 10 kwa 1 na Burundi

Timu ya taifa ya Wanawake ya Zanzibar imefungwa magoli 10 kwa 1 na Burundi

wamekufa kike hao,wangeachia bao moja ikafika 11 kila mmoja lake
 
ndio wamefungwa lakini kwa mbinde saaaaaana......
 
Ntafurahi sana kama matokeo haya atayapata rais mtukufu Dr Shein
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watakuwa mwisho mwa mchezo walikataa kuwapa mikono wachezaji wa Burundi

Nyie machogo mumezidi kebehi...achene hizo bwana...tehtehtehtehteh
 
Back
Top Bottom