nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,035
- 2,938
Juma Mrisho Dereva wa Train Tabora au baba Gossage
Mzee juma mrisho yako katika mashindano ya Gossage nadhani ulikuwa Uganda akapata simu kuwa huku Tanzania mkewe kajifungua mtoto wa kiume akaambiwa atoe jina akasema aitwe gossage kisha akakata simu. Nae baadae alikuja cheza mpira kwa kiwango chake.