Mzee juma mrisho yako katika mashindano ya Gossage nadhani ulikuwa Uganda akapata simu kuwa huku Tanzania mkewe kajifungua mtoto wa kiume akaambiwa atoe jina akasema aitwe gossage kisha akakata simu. Nae baadae alikuja cheza mpira kwa kiwango chake.
Naam walichukua kombe la taifa (sunlight )miaka mitatu mfululizo yeye akiwa mkoba khalafu halfback four ndio mzee matthias (winch )michezo ikifanyika uwanja wa ilala (karume )