Timu ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 17 imeitoa timu ya Kenya U 17 kwa jumla ya magoli 2/1

Timu ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 17 imeitoa timu ya Kenya U 17 kwa jumla ya magoli 2/1

BENEDICT BONIFACE

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
284
Reaction score
473
Timu ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 17 imeitoa timu ya Kenya U 17 kwa jumla ya magoli 2/1katika michuano ya CECAFA U17 Inayofanyika Burundi. Kwa matokeo hayo Serengeti boys imefuzu kuingia katika fainali itakayochezwa tar 28 Apr.
 
Wakairudi, wanaachwa wanakwenda kiendelea kula ugali, kesho tunailaumu stars.
Hatuna mipango kabisa asee
 
Wakairudi, wanaachwa wanakwenda kiendelea kula ugali, kesho tunailaumu stars.
Hatuna mipango kabisa asee
Tatizo lilikua hapo.. ila siyo sasa hivi mkuu! Hao madogo wamekaa pamoja kwa zaidi ya miaka miwili sasa na lazima wakae pamoja kwa sababu ndiyo watakao tumika mwakani kwa ajili ya AFCON itakayofanyika Tz.
 
Tume yatungua
IMG_20180426_170442_476.jpg
 
Tatizo lilikua hapo.. ila siyo sasa hivi mkuu! Hao madogo wamekaa pamoja kwa zaidi ya miaka miwili sasa na lazima wakae pamoja kwa sababu ndiyo watakao tumika mwakani kwa ajili ya AFCON itakayofanyika Tz.
Kama hivyo ni sawa.
Maana huwezi kuwa na kitu imera kisicho kuwa na uwiano, wala ushirikiano
 
Kweli mkuu.. Alliance schools ndiyo wame walea, Jamaa wako serious mpaka Kagame amesema ataleta vijana wake na amewa ita Kigali awape eneo wafungue shule uko
Hapo tu ndo kulikua tatizo langu.
Nilikua najiuliza kwanini mamlaka zisiingie ubia na watu kama allience ili watoto wakae pamoja?
Hatuna budi kuwapongeza mamlaka zilizoliona hilo.
 
Congratulations hapo. Ni nadra Tanzania kuishinda Kenya sector ya michezo kwa hivo hapa nawapa kongole.
 
Back
Top Bottom